java

Monday, 2 April 2018

Shamba la Uwanaumwa likiwa na zao la Muhogo

 Hili ni shamba la Uwanaumwa ambalo linaonyesha sehemu mbalimbali za shamba likiwa na zao la muhogo inayotarajiwa kuvunwa mwezi April 2018


Shamba la Uwanaumwa - Isambara

Shamba la Uwanaumwa - Isambara lenye mmea wa muhogo unaotarajiwa kuvunwa mwezi May 2018




Monday, 30 October 2017

MORE UWANAUMWA'S PROJECTS

Sign Post-To UWANAUMWA's Farm
Kibao Kikielekeza Shambani Kwa UWANAUMWA.

Some Of the Bee hives in UWANAUMWA's farm in Isambara Biharamulo
Baadhi ya mizinga ya nyuki ya UWANAUMWA huko Isambara Biharamulo

Weeding from a glance in UWANAUMWA's Farm in Isambara Biharamulo
Mfanyakazi wa UWANAUMWA akipalilia Shamba huko Isambara Biharamulo

Saturday, 28 October 2017

Uwanaumwa Farm Isambara on mach 02/2017

                         Uwanaumwa Farm with cassava in Isambara Village on Mach 02/2017

Wednesday, 23 November 2016

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT





DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha checking our Poultry activities during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha(Mrs)Akiendelea kukagua banda la pili lenye mradi wa ufugaji kuku za Uwanaumwa alipotembelea ofisi zetu 10/11/2016 katika ziara ya kikazi kata ya Igoma Jijini Mwanza.Nyuma  ya Mh.DC.ni Katibu Mkuu wa Uwanaumwa Geofre Matata,Afisa utumishi wa Jiji la mwanza (Mwenye shati lekundu) na wageni mbalimbali.

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha pleased with our operations during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya akifurahia jambo wakati akibadilishana mawazo na Afisa kilimo Katika ofisi ya Mkuu wa wilaya Nyamagana Ndg.Magafu kulia.Na Mh.Diwani wa kata ya Igoma,Katibu Mkuu wa Uwanaumwa na Afisa Mifugo wa kata ya Igoma.(hawapo pichani) 10/11/2016

The Ward Chancellor of Igoma Ward,Hon.Magabe taking notes following instructions from the DC.

The Ward Chancellor of Igoma Ward,Hon.Magabe taking notes following instructions from the DC.
Akiandika Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Akiandika Baadhi ya Maelekezo ya Mh.Mkuu wa wilaya(Hayupo pichani) alipokuwa akiyatoa katika ziara ya kikazi kata ya Igoma akiwa ofisi za Uwanaumwa.Kutoka kushoto ni Ndg.Geofre Matata.Katibu mkuu wa Uwanaumwa.Mh.Diwani wa kata ya Igoma.Ndg.Magabe na Ndg.Ephraim Deffu Mkurugenzi Uwanaumwa.