Wednesday, 23 November 2016
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha checking our Poultry activities during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha(Mrs)Akiendelea kukagua banda la pili lenye mradi wa ufugaji kuku za Uwanaumwa alipotembelea ofisi zetu 10/11/2016 katika ziara ya kikazi kata ya Igoma Jijini Mwanza.Nyuma ya Mh.DC.ni Katibu Mkuu wa Uwanaumwa Geofre Matata,Afisa utumishi wa Jiji la mwanza (Mwenye shati lekundu) na wageni mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment