ENGLISH TEXT
UWANAUMWA is currently implementing her projects by using members' fees to run their activities in farming and other entrepreneurial projects like animal husbandry. As of now UWANAUMWA received a loan from Mwanza city council that helped her to buy farmland at Isambala village, biharamolo district Kagera region. Farming and livestock keeping are the production activities being carried out till present (2016/2017).
UWANAUMWA still needs support from different fields like knowledge, Tools and money for further investments that will eventually make her meet her objectives. We need donors, partners, investors and support from any serious/dedicated individuals, organizations, companies etc
For more information contact us (UWANAUMWA) from the contact information provided in the contact us page or visit us at our offices in Mwanza.
KISWAHILI
UWANAUMWA mpaka sasa inaendeshwa kifedha kutokana na michango ya wanachama.
kwa
miradi tuliyonayo ya ufugaji kuku na kilimo. pia ilipata mkopo toka
halmashauri ya jiji la mwanza ambao ulichangia ununuzi wa shamba katika
kijiji cha isambala wilaya bihalamolo mkoa wa kagera. sasa shughuli za
kilimo zinaendelea katika msimu huu wa 2016/2017 na ufugaji wa kuku.
UWANAUMWA bado ina hitaji sana kuwezeshwa katika mambo yafuatayo.
Elimu,
vifaa, na fedha ilikufanikisha malengo tuliyonayo, pia tunawakaribisha
watu binafsi, Taasisi aina zote, mashirika aina zote kutuwezesha na
kuungana na UWANAUMWA katika shughuli zetu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na UWANAUMWA au fika ofisini kwetu.
No comments:
Post a Comment