Hili ni shamba la Uwanaumwa ambalo linaonyesha sehemu mbalimbali za shamba likiwa na zao la muhogo inayotarajiwa kuvunwa mwezi April 2018
Monday, 2 April 2018
Monday, 30 October 2017
MORE UWANAUMWA'S PROJECTS
Sign Post-To UWANAUMWA's Farm
Kibao Kikielekeza Shambani Kwa UWANAUMWA.
Some Of the Bee hives in UWANAUMWA's farm in Isambara Biharamulo
Baadhi ya mizinga ya nyuki ya UWANAUMWA huko Isambara Biharamulo
Weeding from a glance in UWANAUMWA's Farm in Isambara Biharamulo
Mfanyakazi wa UWANAUMWA akipalilia Shamba huko Isambara Biharamulo
Saturday, 28 October 2017
Wednesday, 23 November 2016
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha checking our Poultry activities during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha(Mrs)Akiendelea kukagua banda la pili lenye mradi wa ufugaji kuku za Uwanaumwa alipotembelea ofisi zetu 10/11/2016 katika ziara ya kikazi kata ya Igoma Jijini Mwanza.Nyuma ya Mh.DC.ni Katibu Mkuu wa Uwanaumwa Geofre Matata,Afisa utumishi wa Jiji la mwanza (Mwenye shati lekundu) na wageni mbalimbali.
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha pleased with our operations during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya akifurahia jambo wakati akibadilishana mawazo na Afisa kilimo Katika ofisi ya Mkuu wa wilaya Nyamagana Ndg.Magafu kulia.Na Mh.Diwani wa kata ya Igoma,Katibu Mkuu wa Uwanaumwa na Afisa Mifugo wa kata ya Igoma.(hawapo pichani) 10/11/2016

The Ward Chancellor of Igoma Ward,Hon.Magabe taking notes following instructions from the DC.

Akiandika Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Akiandika Baadhi ya Maelekezo ya Mh.Mkuu wa wilaya(Hayupo pichani) alipokuwa akiyatoa katika ziara ya kikazi kata ya Igoma akiwa ofisi za Uwanaumwa.Kutoka kushoto ni Ndg.Geofre Matata.Katibu mkuu wa Uwanaumwa.Mh.Diwani wa kata ya Igoma.Ndg.Magabe na Ndg.Ephraim Deffu Mkurugenzi Uwanaumwa.
Akiandika Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Akiandika Baadhi ya Maelekezo ya Mh.Mkuu wa wilaya(Hayupo pichani) alipokuwa akiyatoa katika ziara ya kikazi kata ya Igoma akiwa ofisi za Uwanaumwa.Kutoka kushoto ni Ndg.Geofre Matata.Katibu mkuu wa Uwanaumwa.Mh.Diwani wa kata ya Igoma.Ndg.Magabe na Ndg.Ephraim Deffu Mkurugenzi Uwanaumwa.
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha giving some advice to UWANAUMWA leaders during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.Mary Tesha(Mrs) Akitoa ushauri na Maelekezo kwa viongozi wa Uwanaumwa na Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Baada ya kukamilika kwa zoezi la kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa iliyofanyika katika ofisi za Uwanaumwa 10/11/2016
Hongera mama kwa kazi nzuri unayoifanya.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.Mary Tesha(Mrs) Akitoa ushauri na Maelekezo kwa viongozi wa Uwanaumwa na Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Baada ya kukamilika kwa zoezi la kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa iliyofanyika katika ofisi za Uwanaumwa 10/11/2016
Hongera mama kwa kazi nzuri unayoifanya.
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha getting some explanations form the chief secretary of UWANAUMWA during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha.(Mrs)Akipokea ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Uwanaumwa.Ndg.Geofre wakati wakitoka kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa uliopo Igoma mwanza 10/11/2016.Nyuma ya Mh.Mkuu wa wilaya ni Mh.Diwani wa Kata ya Igoma Ndg.Magabe.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha.(Mrs)Akipokea ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Uwanaumwa.Ndg.Geofre wakati wakitoka kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa uliopo Igoma mwanza 10/11/2016.Nyuma ya Mh.Mkuu wa wilaya ni Mh.Diwani wa Kata ya Igoma Ndg.Magabe.
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha chatting with UWANAUMWA leaders during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mary Tesha (Mrs)Katikati. Akitoa maelekezo na ushauri kwa katibu mkuu wa Uwanaumwa na Afisa mifugo wa kata ya Igoma.Baada ya kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa. 10/11/2016 akiwa kwenye ziara ya kikazi Kata ya Igoma
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mary Tesha (Mrs)Katikati. Akitoa maelekezo na ushauri kwa katibu mkuu wa Uwanaumwa na Afisa mifugo wa kata ya Igoma.Baada ya kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa. 10/11/2016 akiwa kwenye ziara ya kikazi Kata ya Igoma
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT
Pleased with our operations was the DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha during her visit at one of our Production sites.
Mh.mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha (Mrs) Akikagua mradi wa Uwanaumwa wa ufugaji kuku.Alipotembelea ofisi zetu 10/11/2016 Akiwa katika ziara ya kikazi kata ya Igoma Jijini Mwanza.Kutoka kushoto ni Katibu mkuu wa Uwanaumwa,Afisa mifugo wa kata ya Igoma,Afisa utumishi wa Jiji la mwanza na Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.

Thursday, 13 October 2016
Site Visiting in Isambara Village Biharamulo
| Charmian (right) and assistants looking for new site for buying in order to farm |
| Site searching process..For Agriculture! |
| UWANAUMWA farm cleared special for farming (2016/207) |
| UWANAUMWA Secretry (right center with blue overall) coming from the site Isamabara Village biharamulo to Mwanza |
| Chairman preparing chicken feeds. |
Saturday, 24 September 2016
CHECK THE HARVEST!! (EGGS)
![]() |
| The chairman in the layers' residences about to pick Eggs! Mwenyekiti akiwa ndani ya banda la kuku akiokota Mayai ya kuku. chairman collecting eggs in the chicken house |
![]() |
| The chairman himself after picking the Eggs! Mwenyekiti wa UWANAUMWA akitoka nje ya banda la kuku mara baada ya kuokota mayai chairman out from the chicken house |
UWANAUMWA SHAMBA AT ISAMBALA
![]() |
| Plugging Beacons at ISAMBALA Uwekaji alama za mipaka katika shamba la UWANAUMWA ISAMBALA bacon inserting in the area of the farm |
![]() |
| Closing the Transaction. The farmland is now in UWANAUMWA'S hands! Mauziano ya shamba la UWANAUMWA ISAMBALA Farm buying process UWANAUMWA Isambala Biharamolo Kagera |

| Clearing the ISAMBALA shamba Usafishaji wa shamba la UWANAUMWA ISAMBALA kwa ajili ya kulima cleaning process of the farm |
![]() |
| Clearing the ISAMBALA shamba Katibu mkuu akisimamia Usafishaji wa shamba la UWANAUMWA ISAMBALA kwa ajili ya kulima cleaning process of the farm |
![]() |
| Clearing the ISAMBALA shamba Usafishaji wa shamba la UWANAUMWA ISAMBALA kwa ajili ya kulima cleaning process of the farm |
Beehive In UWANAUMWA FARM
Mzinga wa Nyuki katika Shamba la UWANAUMWA
Subscribe to:
Posts (Atom)