java

Wednesday, 23 November 2016

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha giving some advice to UWANAUMWA leaders during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza.Mary Tesha(Mrs) Akitoa ushauri na Maelekezo kwa viongozi wa Uwanaumwa na Mh.Diwani wa kata ya Igoma Ndg.Magabe.Baada ya kukamilika kwa zoezi la kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa iliyofanyika katika ofisi za Uwanaumwa 10/11/2016
Hongera mama kwa kazi nzuri unayoifanya.

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha getting some explanations form the chief secretary of UWANAUMWA during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha.(Mrs)Akipokea ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Uwanaumwa.Ndg.Geofre wakati wakitoka kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa uliopo Igoma mwanza 10/11/2016.Nyuma ya Mh.Mkuu wa wilaya ni Mh.Diwani wa Kata ya Igoma Ndg.Magabe.

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha chatting with UWANAUMWA leaders during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mary Tesha (Mrs)Katikati. Akitoa maelekezo na ushauri kwa katibu mkuu wa Uwanaumwa na Afisa mifugo wa kata ya Igoma.Baada ya kukagua mradi wa ufugaji kuku wa Uwanaumwa. 10/11/2016 akiwa kwenye ziara ya kikazi Kata ya Igoma

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha checking our operations during her visit at one of our Production sites.
Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha (Mrs)Akiendelea kukagua mradi wa Uwanaumwa wa ufugaji kuku.Huku akitoa ushauri kwa katibu mkuu wa uwanaumwa Ndg.Geofre wa kwanza kushoto na Afisa Mifugo wa Kata ya Igoma(aliyevaa koti) 10/11/2016

DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha's visit to UWANAUMWA'S PROJECT

Pleased with our operations was the DC of Nyamagana Hon.Mary Tesha during her visit at one of our Production sites.

Mh.mkuu wa wilaya ya Nyamagana.Mary Tesha (Mrs) Akikagua mradi wa Uwanaumwa wa ufugaji kuku.Alipotembelea ofisi zetu 10/11/2016 Akiwa katika ziara ya kikazi kata ya Igoma Jijini Mwanza.Kutoka kushoto ni Katibu mkuu wa Uwanaumwa,Afisa mifugo wa kata ya Igoma,Afisa utumishi wa Jiji la mwanza na Mh.Mkuu wa wilaya ya Nyamagana.

Thursday, 13 October 2016

Site Visiting in Isambara Village Biharamulo

Charmian (right) and assistants looking for new site for buying in order to farm  

Site searching process..For Agriculture!

UWANAUMWA farm cleared special for farming (2016/207)

UWANAUMWA Secretry (right center with blue overall)  coming from the site Isamabara Village biharamulo to Mwanza

Chairman preparing chicken feeds.

Saturday, 24 September 2016

CHECK THE HARVEST!! (EGGS)

The chairman in the layers' residences about to pick Eggs!
Mwenyekiti akiwa ndani ya banda la kuku akiokota Mayai ya kuku.
chairman collecting eggs in the chicken house

The chairman himself after picking the  Eggs!
Mwenyekiti wa UWANAUMWA akitoka nje ya banda la kuku mara baada ya kuokota mayai
chairman out from  the chicken house